2 Kings 21:1

Manase Mfalme Wa Yuda

(2 Nyakati 33:1-20)

1Manase alikuwa na umri wa miaka kumi na miwili alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu miaka hamsini na mitano. Mama yake aliitwa Hefsiba.
Copyright information for SwhKC